🔴 LIVE: Watch Tanzania inakuunganisha katika mjadala wa Kitaifa juu ya Umuhimu na usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

ZOOM MEETING:Kwa udhamini wa Benki ya Kilimo Tanzania - TADB

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom unaofanyika leo Januari 2, 2022 (Jumapili) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.

Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya Umuhimu na usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi_

 >Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa  shorturl.at/sxAGS

Au kupitia

Meeting ID: 82756041187

Passcode: 640976

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili faida za uwazi na usimamizi mzuri wa mikopo kwa maendeleo ya taifa letu.Karibu

Post a Comment

0 Comments