





Simba SC,
mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu, wanabaki na alama zao 13
baada ya kipigo cha jana huku wakizidiwa alama tatu na mahasimu wao,
Yanga SC baada ya timu zote kucheza mechi sita, wakati Azam FC
wanaendelea kuongoza kwa alama 21 za mechi saba hadi sasa. 














