HomeHabari Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Oktoba 24,2020 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein ametoa ripoti ya matokeo ya utafiti wa gesi na mafuta huku akibainisha kuwa, wananchi wavute subira kwani kuna viashria vizuri vya uwepo wa rasilimali hiyo visiwani humo. Tags Habari Magazeti Facebook Twitter