Utabiri wa hali ya hewa kuanzia saa 3:00 usiku Oktoba 23,2020
Mchambuzi ni Happiness Mpunza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo ya mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma na Mwanza yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.