Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afuturisha wabunge jijini Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto), katika futari ambayo Waziri Mkuu aliwaandalia wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Aprili 28, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge katika futari aliyowaandalia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kushoto) na Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021.
Baadhi ya wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments