Rais Dkt.Mwinyi awasili Afrika Kusini kushiriki Mkutano wa Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King ShakaDarban Afrika Kusini, kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 15/11/2021 Jijini Darban Afrika Kusini.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mwenyeji wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Shaka Jijini Darban Afrika Kusini, kuhudhuria Mkutano wa Ufungfuzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika,utakaofanyika kesho 15-11-2021 Jijini Darban.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news