Watch Tanzania inakualika katika mjadala wa Kitaifa kesho utakaoangazia Wanawake na Uongozi kuelekea Mwaka Mmoja wa Rais Samia madarakani

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano utakaofanyika Machi 5, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12 na nusu jioni.
Mada;Wanawake na Uongozi; Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani.

Muda ukifika (Saa 10 kamili Jioni ya tarehe 5, Jumamosi) utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3Cb1cZd

Au kupitia

Meeting ID: 81653253637

Passcode: 632994

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja dhana ya Wanawake na Uongozi Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani. Usikose!

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news