Nilitapeliwa kiwanja, nikafungua kesi na nikashinda kwa njia hii!

NA MWANDISHI WETU

JINA langu ni Lui, miaka mitatu iliyopita nilinunua kiwanja maeneo ya Nyamagana jijini Mwanza kutoka kwa mzee mmoja aliyekua anakata viwanja kutoka kwenye shamba lake kubwa na kuviuza vipande vipande kwa watu.

Sasa tatizo nilikuja kugundua nimetapeliwa ni pale nilipoenda ofisi za watu wa ardhi (survayers) ili wanipe mchakato wa nini kinatakiwa ili niweze kurasimisha kiwanja change, yaani kupata hati nikaambatana nao hadi kwenye eneo langu ili kuchukua coordinates ndipo hapo niligundua kuwa yule mzee aliniuzia kiwanja kwenye shamba ambalo lilikuwa na hati.

Yaani haikuwa squatter bali eneo ambalo lilikwisha pimwa na lilikuwa na hati ya wizara, sasa hawa ma savayer walichoniambia ni ili niweze kufanikisha zoezi la kupima kiwanja changu inatakiwa nimtafute yule mzee aniandikie barua ya kusurrender ile hati yake ya mwanzo pamoja na copy zetu za makaratasi ya mauziano zikiambatana na copy ya hati ya huyo mzee.

Sasa nilijaribu kumtafuta muuzaji zaidi ya mara tano kumuelezea kuwa nahitaji hizo documents, lakini naona hakunipa majibu ya kueleweka kila nikimtafuta ananiambia mara wiki ijayo mara mwezi, mpaka ikafikia hatua akawa hapokei simu zangu kabisa.

Nilikutana na mtu mmoja na kumueleza jambo hilo, aliniambia hao ndio wanaosababisha migogoro ya ardhi na serikali inawatafuta sana ili ishughulike nao.

Hivyo, nienda katika ofisi za serikali za mitaa au ofisi za kijiji kisha niombe barua ya kwenda kumfungulia mashitaka ya kunitapeli na kusababisha migogoro ya ardhi kwa makusudi, baada ya mchakato wote kesi ile ilianza, nilikuja kigundua yule mzee alikuwa na watu wazito wanaomlinda.

Yule rafiki yangu akaniambia hiyo kesi ni nzito sana, hivyo niwasiliane na Dr. Kiwanga anisaidie kushinda kesi hiyo maana yeye mwenyewe aliwahi kumsaidia kipindi cha nyuma.

Alinipa namba ya Dr. Kiwanga ambayo ni +254 769404965, nilimueleza suala zima lilivyokuwa, basi akanifanyie tiba zake.

Kesi haikuchukua muda kuisha na hatimaye hukumu ikatoka kuwa mzee yule anirudishie fedha zangu zote shilingi milioni 7.9 na gharama za usumbufu, watu wake waliokuwa wanampa kiburi walitoa zile fedha nami nikaendelea na maisha yangu.

Pia kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kisonono, kifafa, kaswende na magonjwa mengine kwa muda wa siku tatu pekee. Kulingana na uwezo wake, anaweza kufanya mali yako iliyoibiwa kurejeshwa na pia kukukinga dhidi ya hasidi wako wasiokutakia mema kwa wakati wowote ule.

Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news