URAFIKI MWEMA TANZANIA NA CHINA: Maafisa wa China wamuokoa msichana wa miaka saba ndani ya Ziwa Victoria

JUNI 23,2022 wataalamu watatu wa kijeshi wa China mjini Mwanza walimuokoa msichana wa miaka 7 aliyeanguka kwa bahati mbaya ndani ya Ziwa Victoria. 
Mama wa msichana alishukuru sana na kuguswa na wema na ujasiri wao.
China na Tanzania ni marafiki wa kweli wakishirikiana katika raha na shida.
On June 23, three Chinese military experts in Mwanza saved the life of a 7-year-old girl who accidentally fell into the water of Lake Victoria.
The girl's mother is so grateful and touched by their kindness and courage. Proud of them! China and Tanzania are true friends sharing weal and woe. (Photo by China Embassy in United Republic of Tanzania).

Post a Comment

0 Comments