Waziri Mkuu ateta na Balozi wa China nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments