🔴LIVE:Karibu ufahamu fursa zilizopo Marekani, Canada, Brazil na Cuba

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum unaofanyika leo Jumamosi Agosti 27, 2022 kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa mbalimbali zinazopatikana Marekani, Canada, Brazil na Cuba

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3PCxrpa

Au kupitia
Meeting ID: 83215535581
Passcode: 603885

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments