DAKIKA CHACHE ZIJAZO:Ni zamu ya Shinyanga,Singida na Tabora utafahamishwa fursa mbambali

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika leo Jumamosi Oktoba 08, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Shinyanga, Singida na Tabora.
Muda ukifika Saa 5 kamili asubuhi, utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3ruO6Bs

Au kupitia
Meeting ID: 838 5356 8564
Passcode: 501287
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments