Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health jijini Doha, Qatar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022Eneo: Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments