Hizi hapa Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma

WATCH Tanzania leo Novemba 5, 2022 imekuunganisha moja kwa moja katika mkutano maalum na muhimu uliofanyika kuanzia saa 8 kamili mchana hadi saa 10:30 jioni
Mada ilikuwa:Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma

Aidha, mkutano huu umerushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.

Post a Comment

0 Comments