Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu

M wenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 22 Novemba, 2022 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.Post a Comment

0 Comments