Migogoro ndani ya ndoa yapata tiba kamilifu

NA MWANDISHI WETU

HAKUNA jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao, maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.

Jina langu ni Farida, mimi na mume wangu tulianza kugombana baada ya kujifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.

Nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua, lakini nijaka kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.

Ni suala ambalo liliniumiza sana kiasi ambacho nilianza kulia machozi, kama ni hivyo kwa nini asingeongea na mimi kwanza, kwa nini akanitangaze huko nje.

Aliporejea nyumbani sikutaka hata salamu yake, hapo hapo nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema ameongea ukweli kabisa.

Ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi hadi majirani waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira maana jambo hilo nilikua sio la kweli, hadi wazazi waliingilia kati, lakini hakuna suluhu iliyopatikana.

Mwisho wa siku ukoo uliamua kila mmoja alale chumba chake maana hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna watoto wengine.

Licha ya kulala kila mtu chumba chake, bado migogoro ndani haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga sana huyu mtoto wa mwisho kiasi kwamba roho yangu iliniuma sana.

Mgogoro huu uliendelea hadi mtoto huyu anafikisha miaka sita, ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi mahakamani.

Mahakama iliamuru Baba na mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo majibu yalionyesha mume wangu ni Baba halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio wake.

Hata hivyo, mume wangu hakuridhika na majibu hayo na kusema si ya kweli jambo ambalo sikutegemea, nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa shwari.

Nakumbuka siku moja nikiwa ofisini nilichukua gazeti nililolikuta juu ya meza yangu na kuanza kulipitia, ndipo nilipokutana na Dr.Kiwanga ambaye naweza kusema ndiye ameiponya ndoa yangu na kurejesha furaha iliyopotea kwa miaka sita.

Tangazo lake gazetini lilieleza kuwa anaweza kusuluhisha migogoro ya ndoa ndani ya siku tatu, nilishawishika kuchukua namba yake ambayo ni +254 769404965, niliwasiliana naye na kumueleza kila kitu ambacho kinanisumbua.

Nikiri kuwa tangu tangu nimewasiliana naye, ugomvi ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu aliamua kuitisha kikao cha ukoo na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri kuwa yule ni mtoto wake halali kabisa.

Shukrani zangu za kipekee zimuendee Dr. Kiwanga kwa kazi nzuri na ajabu aliyonifanyia. Kumbuka pia Dr. Kiwanga anaweza kukufanya kuwa na bahati maishani mwako,kushinda kesi, kuondoa migogoro ya ardhi na mengineo. Waweza kumpata kupitia piga simu kwa namba au Whatsapp +254 769404965 Dr.Kiwanga atakuhudumia saa 24.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news