Furaha ya Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete siku yake ya kuzaliwa


Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akifurahia siku yake ya kuzaliwa kwa kuwabariki wananchi kidogo alichojaliwa na Mwenyezi Mungu.
"Miaka Mingi iliyopita , Baraka za Allah ziliangaza Nyumba ya Baba Jakaya Kikwete na Mama Aziza Bint Saburi na nilianza safari katika Uso Wa Dunia. Naendelea Kumshukuru Allah na kuwashukuru sana Wazazi wangu wawili kwa Mazazi Yangu. Siku zote mmekuwa ni Baraka kwangu. Nawashukuru sana zaidi ninaposherehekea Siku nyengine katika Maisha haya. Allahu Akbar. #HappyBirthdayToMe."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news