Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 9,2024
ARUSHA-Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema, alinusurika ajali mara tatu kwenye ziara yake ya kuzunguka mikoa mbalimbali nchini, alipokuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM).