DAR ES SALAAM-Asilimia 93 ya watanzania wamefikiwa na huduma za mawasiliano licha ya changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta hiyo, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hayo Mei 9, 2024 jijini Dar es Salaam.
Tags
Magazeti


























