Abiria aliyenilipia nauli alivyochukua nyota yangu!
NAITWA Shamira kutoka Mwanza, kuna siku nilienda kwa mume wangu anapofanyia kazi maana tunaishi mikoa tofauti, sasa nilipokuwa kwenye gari kuna kaka mmoja alikua amekaa siti ya pembeni, akaniuliza dada una salio kwenye simu yako?.
Nikasema ndio, sababu tulikua tumeshatoka mjini, akaniomba simu akaongea na baada ya dakika kadhaa kanirudishia.
Sasa tukafika, ila mimi nilitakiwa kupanda bodaboda, hadi nilipo kuwa naenda kwa bodaboda ni Sh5,000.
Sasa yule kaka nilivyo shuka tu kwenye gari kaniuliza unaelekea wapi? Nikamwambia akampa yule bodaboda Sh5,000, akasema asante kwa kumpa simu maana alikua na shida sana. Na hapa ndipo unaanzia mkasa wa mimi kwenda kwa...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo

















