Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa, Mheshimiwa Emmanuel Macron, Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Dkt.William Samoei Ruto pamoja na Mke wa Rais wa Kenya, Mama Rachel Ruto, wakati wa chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa–France Partnership for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya.
Tags
Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Dr William Ruto
Emmanuel Macron
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
