Magazeti leo Septemba 24,2026

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid, amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka viongozi wote kuwajibika kikamilifu katika kuwahudumia wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili.
Rabia ameyasema hayo Septemba 23, 2026, wakati akiendelea na ziara ya CCM katika Mkoa wa Dodoma yenye lengo la kusikiliza, kuzungumza na kutatua changamoto za wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii.

Katika ziara hiyo, Rabia amekutana na wananchi waliojitokeza kuwasilisha changamoto, maoni, ushauri na mapendekezo mbalimbali yanayohusu maisha na maendeleo yao.












Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here