Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 23, 2026

Soma habari zote muhimu leo Oktoba 23, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Majira, Nipashe, Zanzibar Leo, Raia Mwema, Mwanahalisi, Uhuru, Pambazuko, Jamhuri na mengineyo kila siku bila malipo.
MWANANCHI leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Sauti ya kikohozi mbioni kubaini magonjwa ya upumuaji, Museveni aitisha mazungumzo ya maridhiano na Kiiza Besigye, Chadema yavuka tena kiunzi kortini, Bima ya Afya kwa Wote awamu ya pili kusajili kaya 625,000 na Kilichoibeba ICC ushindi tuzo ya Sakharov.
NIPASHE leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mauaji ya kimapenzi yanavyotikisa nchini, Kaya 625,000 kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote, Mti ulivyomuua diwani, shuhuda asimulia tukio, ICC yampiku Lissu tuzo ya kimataifa, Waziri aingilia mgogoro wa daladala, bajaj na Watumishi Zanzibar walamba mishahara mipya.
RAIA MZALENDO leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Masauni aeleza manufaa ya Tanzania kuwa kitovu soko la kaboni Afrika, Wazalishaji wa rangi watakiwa kudhibiti rangi zenye sumu ya risasi, Waziri Sangu awasili Thailand kujifunza Mfumo wa Fidia za Wafanyakazi, Tanzania yang'ara Afrika kwa uwekezaji sekta ya maji na Watuhumiwa wawili wa mauaji na wizi Arusha wafa wakipatiwa matibabu.
Tanzania Leo - Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha soko la kaboni, Waziri Masauni asema serikali inaimarisha mifumo ya usimamizi na uwazi, Asema lengo biashara hiyo ichangie ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha, Afungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania, HESLB yatoa mikopo ya awamu ya pili kwa wanafunzi 90,235, WHO yaipongeza serikali mpango wa bima ya afya kwa wote, Nyambari Nyangwine kufanya ziara ya kibiashara Uarabuni na AGENDA: Tuwalinde watoto na rangi zenye sumu ya risasi.
MWANANCHI HURU leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Masauni aeleza biashara ya kaboni itakavyoipaisha Tanzania kiuchumi, asema biashara hiyo itakuwa nyenzo ya maendeleo ya Taifa, asema itazalisha ajira, kuongeza mapato ya jamii, kuvutia uwekezaji na kuhifadhi misitu, afungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania, Rais Samia ang'ara Afrika uwekezaji sekta ya maji, Trump ahaha kujinasua kwenye uchaguzi wa Marekani na TOSCI yakabidhi gari mpya nyanda za juu kusini kuimarisha ukaguzi wa mbegu.
WAMACHINGA leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mwigulu aagiza vijana wanufaike kimataifa, Kupitia program za kilimo biashara, Magembe, Chalamila wafunga buti Bima ya Afya kwa wote, Waziri ataka huduma bora, Dar waanza kampeni ya kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba, Maagizo ya Makamu wa Rais kuhusu Barabara yatekelezwa kwa kasi Mbeya, TAWA kumuunga mkono Rais Dk. Samia kukuza utalii wa Kaskazini, RC Nyongo aitaka TARURA kuongeza kasi ujenzi wa Barabara viwandani na Serikali yaendelea kuboresha upatikanaji mafunzo tarajali.

WAMACHINGA SPOTI leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga ya kwanza kutinga makundi CCL, Barker: Doumbia atafunga sana, Kocha Nabi atua Wydad, Nagelsmann atajwa kutua Man United na Luvanga azidi kuutafuta ufalme Marekani.
MAJIRA leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mkandarasi miradi ya TACTIC apewa mwezi, Tanzania imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji, Dkt. Homera akutana na wawekezaji mradi wa LNG, Uingereza yatuma ndege za kivita kulinda Saudi Arabia, Lissu akwaa kisiki tuzo ya Haki za Binadamu 2026, UCHUNGUZI MAALUM - I: Undani mgogoro wa ardhi uliouwa Arusha, Maagizo ya Makamu wa Rais yatekelezwa kwa kasi na Serikali yatimiza ahadi ya kihistoria nchini.

MAJIRA MICHEZO leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Doumbia mgeni rasmi mechi ya Simba, De Agosto, Ni mechi ya marudiano, mashabiki watakiwa kujitokeza kwa wingi na Yanga yaifuata TRA Arusha kusaka ushindi.
MWANA HABARI leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania, Thailand kuimarisha ushirikiano, Makuyuni; Hifadhi yenye fursa lukuki za utalii na uwekezaji, TOSCI yaimarisha udhibiti wa mbegu bora, yakabidhi gari Kanda ya kusini, Lissu abwagwa Tuzo ya Haki za Binadamu, 2026, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yashinda na Bima ya afya kwa wote si ya masikini pekee-Chalamila.

MWANA HABARI MICHEZO leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga na rekodi ikitinga makundi CCL, Kocha, nahodha Man United hawaelewani, Mbunge Asenga awaongoza wenzake katika Jogging, Kocha Mashami aipaisha Dodoma Jiji na Simba yatangaza kuuza tiketi mechi na Agosto.
AN-NUUR - Ijumaa, Oktoba 23-29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni TISTA Zanzibar yatoa Elimu kwa Wanafunzi, Ni wa Sekondari za Dkt. Ali M. Shein, Tunguu..., Watakiwa kuyapa kipaumbele masomo ya Dini, TISTA Katavi nao waazimia jambo kwa EDK, Diwani atoa wito kukemea maovu, Kijana Abdul na Bint Siti Wanyongwa Saudi Arabia, Wadaiwa kufanya 'uchafu' Msikitini! na Mzozo wa kidiplomasia, Sheria waibuka.
TUMAINI LETU leo Ijumaa, Oktoba 23 - 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni WAWATA wapiga marufuku matumizi holela ya nembo, Msongo wa mawazo hatari kwa selimundu, afya ya akili, Doumbia aing'arisha Simba, Afya ya Papa yazidi kuimarika, Parokia Kawe mbioni kumaliza ujenzi wa kanisa jipya, Askofu Mchamungu awataka Waalimu kulea watoto kwa hekima na Mchengerwa ataka TMDA kukunjua kucha.
Habari LEO leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Zamu ya makundi yote Bima ya Afya, SHANGAZI ADAIWA KUMCHOMA BINTI KWA PASI, MAHAKAMA YARUHUSU CHADEMA IENDELEE NA KAZI, Roboti kutibu wagonjwa JKCI, MWIGULU: USALAMA CHAKULA NI USALAMA WA TAIFA, SERIKALI YAAGIZA WANANCHI WASHIRIKISHWE MRADI WA LNG na TANROADS MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA NDEJEMBI.

Habari LEO Michezo leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Manqoba: Makundi itakuwa rahisi, Barker: Mabadiliko ya mbinu yalitupa ushindi, CARRICK AKALIA 'KUTIKAVU' UNITED, DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO NNE na POLISI TANZANIA, PAMBA JIJI KAZI IPO.
UHURU leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ukurasa mpya bima ya afya kwa wote, Dk. Mwigulu ataka kilimo kiongeze kipato kwa wakulima, Watumishi Zanzibar kicheko nyongeza mpya ya mishahara, Utafiti waanza kubaini chanzo utoro kazini, Chatanda: Onesheni nguvu ya CCM kwa kumchagua Ndilito na Utekelezaji wa maagizo ya Ndejembi washika kasi.
MWANA SPOTI leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni DOUMBIA: KAZI NDO IMEANZA, AWATAJA MASTAA SIMBA... MANGUNGU, KOCHA WAIBUKA, MANQOBA SASA ATAKA KUMI CAF, BRUNO AKOSOA MBINU ZA CARRICK, SNARE AJA NA ISHU YA PROFESA JAY, EAST COAST, TPL LEO IJUMAA: POLISI TANZANIA vs PAMBA FC... SAA 10:00 JIONI.

Tanzania Leo, leo Ijumaa, Oktoba 23, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ahadi ya Samia LNG Lindi yanukia, Tanzania kuwa kitovu cha soko kaboni Afrika-Masauni, Samia ang'ara Afrika diplomasia ya amani, uwekezaji wa maji, Usalama wa chakula ni usalama wa Taifa-Dkt. Mwigulu, Mabaki ya mkonge kutengeneza mbao, kuokoa misitu na Maktaba za Taifa nchini kutumia AI kuboresha huduma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here