Tume ya Jaji Lila inawasikiliza wananchi Temeke

Tume ya Rais ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, chini ya Mwenyekiti Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mheshimiwa Shaban Ally Lila inaendelea kuwasikiliza wananchi wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026 katika Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) eneo la Chang'ombe.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here