Mawakili kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali washiriki mafunzo kuhusu miradi ya ubia

MTUMBA, DODOMA- Mawakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wameshiriki mafunzo kuhusu miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sketa Binafsi (PPP).
Mafunzo yameratibiwa na kuendeshwa na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP - Center) na yamefanyika katika ukumbi wa PPP-Center Mtumba, jijini Dodoma kuanzia tarehe 16 hadi 18 Novemba, 2026.

Aidha, mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha Mawakili wa Serikali kupata uelewa wa kina wa dhana ya ubia, kutambua mifumo ya kisheria na kitaasisi inayosimamia utekelezaji wa miradi ya PPP.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here