Mtoto wa siku tatu aokolewa katika choo cha zahanati

Jeshi la Zima Moto na Uokoaji wilayani Ngara mkoani Kagera limefanya uokozi wa mtoto mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kuanzia siku 0-3 baada kutupwa kwenye shimo la choo cha Zahanati ya Mshikamano iliyopo wilayani humo,anaripoti Allawi Kaboyo kutoka Bukoba.


Akizungumzia tukio hilo kwa waandishi wa habari mjini Bukoba, Kamanda wa jeshi hilo , Inspekta Hamiss Dawa ameeleza kuwa..


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news