Rais Magufuli ashiriki ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 20 ya Mwaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akishirikiana na waumini wenzake kutoa sadaka wakati wa ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiwa na Baba Paroko Paul Mapalala wakisali katika Grotto ya Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria
wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo.
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu
kutoka kwa Baba Paroko, Paul Mapalala wakati wa ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo.Picha zote na IKULU.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news