Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo tarehe 24-10-2020 unaletwa na Mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),Maeneo ya mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma na Mwanza yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

