Rais Magufuli aweka jiwe la msingi kiwanda cha Kahama Fresh mjini Karagwe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika maziwa na
vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe unaoendeshwa na mwekezaji mzawa Bw. Jossam Ntangeki, Jumanne Januari 19, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Bw. Jossam Ntageki baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika
maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo utaondeshwa na mwekezaji huyo mzawa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akisikiliza maeleo ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo utaondeshwa na mwekezaji mzawa, Jossam Ntangeki. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Elisante Ole Gabriel akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Kahama Fresh Bw.Jossam Ntageki wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh mjini Karagwe. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments