RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO WA EAC KWA NJIA YA MTANDAORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki mkutano wa 21 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo tarehe 27 Februari, 2021 kwa njia ya mtandao. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments