RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kabla ya Wimbo wa Taifa haujaanza kupigwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai wakati akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kulihutubia Bunge hilo la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride La Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la 12 na kuelezea Muelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma
Wabunge wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi Bungeni mara baada ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.



Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa na Marais Wastaaf wakielekea katika ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Jijini Dodoma.wakati wa hafla ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia.(Picha na Ikulu) RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiingia katika ukumbi wa Bunge kwa paredi kwa ajili ya kulihutubia Bunge leo 22-4-2021 Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan, Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mama , wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu) Viongozi Wakuu Wastaaf wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news