DPP Mwakitalu atua Gereza la Keko, Ukonga atoa neno


Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini, Bw. Sylvester Mwakitalu ameendelea kutekeleza majukumu yake kwa lengo la kuongeza ufanisi na utoaji huduma bora kupitia ofisi yake ambapo baada ya jana kukutana na kufanya mazungumzo na watendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika utendaji ili kuwezesha kumalizika kwa mrundikano wa mashauri yaliyopo katika mahakama hiyo, amefanya ziara katika Magereza ya Keko lililopo Manispaa ya Temeke na Ukonga lililopo jijini Ilala, Dar es Salaam.Taarifa zinazohusiana soma hapa.

Post a Comment

0 Comments