Orodha ya majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Chuo Kikuu SUZA 2021/2022

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa, kimetoa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa ngazi ya cheti, Stashahada (Diploma) na Shahada ya kwanza (Bachelor degree) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 kwa programu mbali mbali.

Waombaji wote waliochaguliwa wanatakiwa waingie kwenye akaunti zao walizotumia wakati wa kuomba kwa lengo la kupata barua za udahili (admission letter) pamoja na mambo mengine muhimu ya kujiunga na chuo.
Aidha kwa wale ambao hawakufanikiwa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza, waombe kozi nyengine zilizotangazwa na chuo kwa awamu ya pili inayotarajiwa kufunguliwa tarehe 24/08/2021 na kufungwa tarehe 06/08/2021. Kwa taarifa zaidi na orodha ya majina ya waliochaguliwa tembelea website yetu www.suza.ac.tz .
SECOND ROUND COURSES CLICK HERE>>>

Uongozi wa Chuo unawaomba waombaji wote ambao wanapata changamoto zozote katika kwenye mfumo wa uombaji wasisite kuwasiliana na maafisa udahili katika kampasi tofauti za chuo kwa ajili ya kupata msaada zaidi.
Imetolewa na Ofisi ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri

State Universityof Zanzibar
 
 
MUHIMU

UNATAMANI DIRAMAKINI BLOG TUWE HEWANI SAA 24 KUKUPA HABARI ZA KINA KILA DAKIKA, TUNAOMBA UTUUNGE MKONO KWA KUCHANGIA GHARAMA ZA MAWASILIANO NA INTANETI KWA WAANDISHI WETU POPOTE WALIPO NDANI NA NJE YA TANZANIA; TUNAPOKEA MCHANGO WAKO KUPITIA 0719254464 (Tigo Pesa-Godfrey Nnko) AU UKIHITAJI NAMBA YA BENKI TUJULISHE. MUNGU AKUBARIKI SANA KWA SAPOTI YAKO. ASANTE
 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news