Rais Samia ateua Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na wilaya


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Agosti 1,2021 ameteua Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na wilaya kama ifuatavyo;

MKOA WA ARUSHA


Dkt. John Kurwa Marco Pima -Jiji la Arusha
Zainab Juma Makwinya -Wilaya ya Meru
Seleman Hamis Msumi -Wilaya ya Arusha
Juma Mohamed Mhina -Wilaya ya Ngorongoro
Stephen Anderson -Wilaya ya Longido
Raphael John Siumbu -Wilaya ya Monduli
Karia Rajabu -Wilaya ya Karatu


2. MKOA WA DAR ES SALAAM NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Elasto Nehemia Kiwale -Manispaa ya Kigamboni
Beatrice Rest Dominuo Kwai -Manispaa ya Ubungo
Jumanne Kiango Shauri -Jiji la Ilala
Hanifa Suleiman Hamza -Manispaa ya Kinondoni
Elihuruma Mabelya -Manispaa ya Temeke


3. MKOA WA DODOMA NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Yusuph Mustafa Semwaiko -Wilaya ya Kondoa
Paul Mamba Sweya -Mji wa Kondoa
Siwema Hamoud Juma -Wilaya ya Chemba
Athumani Hamisi Masasi -Wilaya ya Bahi
Dkt. Semistatusa Hussein Mashimba- Wilaya ya Chamwino
Dkt. Omary Athumani Nkulo -Wilaya ya Kongwa
Mwanahamisi Haidari Ally -Wilaya ya Mpwapwa
Joseph Constantine Mafuru- Jiji la Dodoma


4.

MKOA WA GEITA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Lutengano George Mwaliba Wilaya ya Bukombe
Saada Seleman Mwaruka Wilaya ya Mbogwe
Mandia H. M. Kihiyo Wilaya ya Chato
Husna Toni Chambo Wilaya ya Nyang’hwale
John Paul Wanga Wilaya ya Geita
Zainab Muhidini Michuzi Wilaya ya Mji Wa Geita


5. MKOA WA IRINGA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Bernard Maurice Limbe Manispaa ya Iringa
Bashir Paul Mhoja Wilaya ya Iringa
Happiness Raphael Laizer Mji wa Mafinga
Lain Ephrahim Kamendu Wilaya ya Kilolo Tangu
Zaina Mfaume Mlawa Wilaya ya Mufindi




6. MKOA WA KAGERA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Innocent Mbandwa Mukandala Wilaya ya Biharamulo
Hamid Hamed Njovu Manispaa ya Bukoba
Fatina Hussein Laay Wilaya ya Bukoba
Elias Mahwago Kayandabila Wilaya ya Muleba
Waziri Khachi Kombo Wilaya ya Missenyi
Solomon Obeid Kimilike Wilaya ya Ngara
Michael Francis Nzyungu Wilaya ya Karagwe
Sacf. James Marco John Wilaya ya Kyerwa



7. MKOA WA KATAVI: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Sophia Juma Kambuli Manispaa ya Mpanda
Mohamed Ramadhani Ntandu Wilaya ya Msimbo
Catherine Michael Mashalla Wilaya ya Mpimbwe
Teresia Aloyce Irafay Wilaya ya Mlele
Shaban Juma Juma Wilaya ya Tanganyika


8. MKOA WA KIGOMA: NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Joseph Kashushura Rwiza Wilaya ya Kasulu
Dollar Rajab Kusenge Mji wa Kasulu
Ndaki Stephano Mhuli Wilaya ya Kakonko
Rose Robert Manumba Wilaya ya Kigoma
Deocles Rutema Murushwagire Wilaya ya Kibondo
Zainab Suleiman Mbunda Wilaya ya Uvinza
Essau Hosiana Ngoloka Wilaya ya Buhigwe
Athmani Francis Msabila Wilaya ya Kigoma Ujiji



9. MKOA WA KILIMANJARO:NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Kastori George Msigala Wilaya ya Moshi
Godwin Justin Chacha Wilaya ya Rombo
Annastazia Tutuba Buhamvya Wilaya ya Same
Upendo Erick Mangali Wilaya ya Siha
Dionis Maternsus Myinga Wilaya ya Hai
Mwajuma Abbas Nasombe Wilaya ya Mwanga
Dr. Rashid Karim Gembe Manispaa ya Moshi




10. MKOA WA LINDI:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
George Mbilinyi Wilaya ya Mtama
Juma Ally Mnwele Manispaa ya Lindi
Eston Paul Ngilangwa Wilaya ya Kilwa
Tina Emelye Sekambo Wilaya ya Liwale
Eng. Chionda Ally Mfaume Wilaya ya Nachingwea
Frank Fabian Chonya Wilaya ya Ruangwa




11. MKOA WA MANYARA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Samweli Warioba Gunza Wilaya ya Simanjiro
John John Nchimbi Wilaya ya Kiteto
Anna Philip Mbogo Wilaya ya Babati
Yered Edson Myenzi Mji wa Mbulu
Jenifa Christian Omolo Wilaya ya Hanang’
Dr. Zuweina Kondo Mji wa Babati
Abubakar Abdullah Kuuli Wilaya ya Mbulu




12. MKOA WA MARA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Emmanuel John Mkonongo Mji wa Bunda
Francis Emmanuel Namaumbo Wilaya ya Rorya
Palela Msongela Nitu Wilaya ya Musoma
Gimbana Emmanuel Ntavyo Mji wa Tarime
Bosco Addo Ndunguru Manispaa ya Musoma
Patricia Robbi John Wilaya ya Butiama
Solomon Isack Shati Wilaya ya Tarime
Changwa Mohammed Mkwazu Wilaya ya Bunda
Kivuma Hamis Msangi Wilaya ya Serengeti




13. MKOA WA MBEYA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Stephe Edward Katemba Wilaya ya Mbeya
Amede Elias Andrea Ngwadidako Jiji la Mbeya
Ezekiel Henrick Magehema Wilaya ya Kyela
Missana Kalela Kwangura Wilaya ya Mbarali
Tamim Hamad Kambona Wilaya ya Chunya
Loema Peter Isaaya Wilaya ya Busokelo
Renatus Blas Mchau Wilaya ya Rungwe




14. MKOA WA MOROGORO:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Saida Adamjee Mahungu Wilaya ya Ulanga
Eng. Stephen Mbulili Kaliwa Wilaya ya Mlimba
Lena Martin Nkaya Mji wa Ifakara
Hassan Njama Hassan Wilaya ya Mvomero
Kisena Magina Mabuba Wilaya ya Kilosa
Rehema Said Bwasi Wilaya ya Morogoro
Asajile Lucas Mwambambale Wilaya ya Gairo
Joanfaith John Kataraia Wilaya ya Malinyi
Ally Hamu Machela Manispaa ya Morogoro




15. MKOA WA MTWARA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Col. Emanuel Harry Mwaigobeko Manispaa ya Mtwara
Thomas Edwin Mwailafu Mji wa Nanyamba
Erica Evarist Yegella Wilaya ya Mtwara
Duncan Golden Thebas Wilaya ya Newala
Apoo Castro Tindwa Wilaya ya Masasi
Elias Runeye Mtiruhungwa Mji wa Masasi
Shamim Daud Mwariko Mji wa Newala
Ibrahim John Mwanauta Wilaya ya Nanyamba
Mussa Lawrance Gama Wilaya ya Tandahimba




16. MKOA WA MWANZA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Modest Joseph Apolinary Manispaa ya Ilemela
Lutengano George Mwaliba Wilaya ya Misungwi
Emmanuel Luponya Sherembi Wilaya ya Ukerewe
Fidelica Gabriel Myovela Wilaya ya Magu
Selemani Yahya Sekiete Jiji la Mwanza
Binuru Mussa Shekidele Wilaya ya Sengerema
Paulo Sosteness Malaga Wilaya ya Buchosa
Happiness Joachim Msanga Wilaya ya Kwimba




17. MKOA WA NJOMBE:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Dollar Rajab Kusenge Mji wa Njombe
Sunday Deogratius Ndori Wilaya ya Ludewa
William Mathew Makufwe Wilaya ya Makete
Keneth Haule Keneth Mji wa Makambako
Maryam Ahmed Muhaji Wilaya ya Wanging’ombe
Sharifa Yusuph Nabarang’anya Wilaya ya Njombe




18. MKOA WA PWANI:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Mshamu Ally Munde Mji wa Kibaha
Kuruthum Amour Sadik Wilaya ya Chalinze
Hanan Mohamed Bafagih Wilaya ya Kisarawe
Mwantum Hamis Mgonja Wilaya ya Mkuranga
Butamo Nuru Ndalahwa Wilaya ya Kibaha
Shauri Selenda Wilaya ya Bagamoyo
Mohamed Issa Mavura Wilaya ya Kibiti
` Kassim Seif Ndumbo Wilaya ya Mafia
John Lipesi Kayombo Wilaya ya Rufiji




19. MKOA WA RUKWA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Jacob James Mtalitinya Manispaa ya Sumbawanga
William Anyitike Mwakalambile Wilaya ya Nkasi
Shafii Kassim Mpenda Wilaya ya Kalambo
Lightness Stanley Msemo Wilaya ya Sumbawanga




20. MKOA WA RUVUMA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Fredrick Damas Sagamiko Manispaa ya Songea
Neema Michael Maghembe Wilaya ya Songea
Sajidu Idrisa Mohamed Wilaya ya Madaba
Chiriku Hamis Chilumba Wilaya ya Namtumbo
Jimson Mhagama Wilaya ya Nyasa
Chiza Cyprian Marando Wilaya ya Tunduru
Grace Stephen Quintine Mji wa Mbinga
Juma Haji Juma Wilaya ya Mbinga




21. MKOA WA SHINYANGA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Nice Remen Munissy Wilaya ya Shinyanga
Anderson David Msumba Mji wa Kahama
Charles Edward Fussi Wilaya ya Msalala
Lino Pius Mwageni Wilaya ya Ushetu
Emmanuel Johson Matinyi Wilaya ya Kishapu
Jomary Mkristo Satura Manispaa ya Shinyanga




22. MKOA WA SIMIYU:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Simon Sales Berege Wilaya ya Maswa
Adrian Jovin Jungu Mji wa Bariadi
Elizabeth Mathias Gumbo Wilaya ya Itilima
Halid Muharami Mbwana Wilaya ya Bariadi
Veronica Vicent Sayore Wilaya ya Busega
Msoleni Juma Dakawa Wilaya ya Meatu




23. MKOA WA SINGIDA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Estehr Annania Chaula Wilaya ya Singida
Michael Augustino Matomora Wilaya ya Iramba
Justine Lawrence Kijazi Wilaya ya Ikungi
Melkizedek Oscar Humbe Wilaya ya Manyoni
John Kulwa Mgagulwa Wilaya ya Itigi
Zefrin Kimolo Lubuva Manispaa ya Singida
Asia Juma Mosses Wilaya ya Mkalama




24. MKOA WA SONGWE:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Cecilia Donath Kavishe Wilaya ya Songwe
Philimoni Mwita Magesa Mji wa Tunduma
Regina Lazaro Beida Wilaya ya Momba
Abadallah Hamis Nandonde Wilaya ya Mbozi
Geofrey Moses Nnauye Wilaya ya Ileje




25. MKOA WA TABORA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Shomary Salim Mndolwa Mji wa Nzega
Kiomoni Kiburwa Kibamba Wilaya ya Nzega
Baraka Michael Zikatimu Wilaya ya Urambo
Dkt. Peter Maiga Nyanja Manispaa ya Tabora
Hemed Saidi Magaro Wilaya ya Uyui
Jerry Daimon Mwaga Wilaya ya Kaliua
Selemani Mohamed Pandawe Wilaya ya Sikonge
Fatuma Omary Latu Wilaya ya Igunga




26. MKOA WA TANGA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
Gracia Max Makota Wilaya ya Kilindi
Ikupa Harrison Mwasyoge Wilaya ya Lushoto
George Daniel Haule Wilaya ya Bumbuli
Nasib Bakari Mmbaga Wilaya ya Muheza
Isaya Mugishangwe Mbenje Wilaya ya Pangani
Zahara Abdul Msangi Wilaya ya Mkinga
Saitoti Zelote Stephen Wilaya ya Handeni
Nicodemus John Bei Mji wa Korogwe
Mariamu Ukwaju Masebu Mji wa Handeni
Spora Jonathan Liana Jiji la Tanga
Halfan Hashim Magani Wilaya ya Korogwe




Imetolewa na


Jaffar Haniu


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news