Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) ina jambo lake leo

Usikose vipindi vya Ijue Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TAEC, Prof. LAZARO BUSAGALA ataongelea majukumu ya TAEC. Ni kupitia TBC Taifa saa 2:30 usiku na TBC 1 saa 3:30 usiku.

NI LEO ALHAMISI SEPTEMBA 16, 2021. Tafadhali Mjulishe na mwenzio "Mionzi kwa Matumizi Salama na Teknolojia ya Nyuklia kwa Maendeleo ya Taifa"

Post a Comment

0 Comments