Yanga SC yamalizana na Antonio Nugaz,yatangaza kamati kabambe


Atonio Nugaz aliyekuwa Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga na mabosi hawajaamua kumuongezea mkataba mpya. Yanga wametoa shukrani kwa Nugaz. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii;

Post a Comment

0 Comments