Miaka 55 ya unyenyekevu, hekima na busara, hongera Mheshimiwa Dkt.Pauline Nahato



DIRAMAKINI kwa watu makini inamtakia heri na fanaka Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyuo vikuu, Mheshimiwa Dkt.Pauline Nahato ikiwa leo hii ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake, ambapo ametimiza miaka 55, Mwenyezi Mungu aendelee kumsimamia, amjalie afya njema daima. Mama unyenyekevu, hekima na busara zako zimezidi kuwa nguzo muhimu katika familia, jamii na Taifa kwa ujumla.(Picha na Mary Margwe).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news