Ndani ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma na kulia kwa Rais ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamari Kuu ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.Dkt.Tulia Ackson.(Picha na Ikulu).
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo Machi 31,2022.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news