Rais Samia ateta na Mwenyekiti wa CUF, Prof.Lipumba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news