Viongozi wa dini Tanzania waandaa jambo MUHIMU Mei 31,2022 kwa ajili ya Taifa la Tanzania, Rais Samia

Ni kongamano la kuliombea Taifa na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na kumpongeza kwa uongozi bora.

Post a Comment

0 Comments