Haya hapa majina yote 1,048 ya watumishi waliopata uhamisho kutoka OR-TAMISEMI

NA DIRAMAKINI

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho watumishi 1,048 wa kubadilisha vituo vya kazi pekee. Watumishi hao ni wale walioomba uhamisho kuanzia Mwezi Februari-Mei,2022.
Aidha amewakumbusha watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwa uhamisho wa kwenye Halmashauri za Majiji, Manispaa na Miji umesitishwa mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo. 

Amewataka watumishi waliopata uhamisho huu kusubiria barua kwenye Halmashauri zao na sio kufika Ofisi ya Rais-TAMISEMI kufuata barua hizo. Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news