Ni kesho tano kamili asubuhi,Sekta ya Maji kuna jambo, USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Juni 15, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada; Uwekezaji na Maendeleo ya Sekta ya Maji chini ya Serikali ya awamu ya sita
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Juni 15, 2022 - Jumatano) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3xrqPmA

Au kupitia

Meeting ID: 87909124771
Passcode: 930359

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja uwekezaji na maendeleo ya Sekta ya Maji chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya Sita.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments