Nilikuwa naota nafanya mapenzi, niliamka simkumbuki niliyekuwa ninafanya naye!

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Chidi, kijana wa miaka 27, nakumbuka nilikuwa nina changamoto ya kuota ndoto zikawa zinanisumbua sana, nakumbuka zilikuwepo nne za aina tofauti tofauti.

Mosi, niikuwa naota nafanya mapenzi na jitu nisilolifahamu, hapa linaweza nibadilisha niwe mwanaume lenyewe linakuwa la kike au linakuwa la kiume linaniingilia.

Pili, naota nakimbizwa na ng’ombe mkubwa mweusi mwenye pembe kali sana, huwa nakimbia sana na linaponikosa ghafla hubadilika na kuwa binadamu na kuanza kunirushia mishale mingi kwa haraka ila halijawahi kunichoma na mshale yake

Tatu, naota nataka kung'atwa na nyuki, lakini pia naota kuna majoka yananikimbiza ila moja ya majoka haya hujificha sehemu au kama kujibanza ili lisionekane wakati likininy’atia.

Nne, naota nimetekwa, hapa huwa nakuwa na wakati mgumu sana wa kukabiliana na mtekaji, nimekimbia sana nimeomba wapita njia msaada, lakini Mzee mmoja alisema ninastahili kutekwa.

Nilijaribu kumkimbia mtekaji na pikipiki ila kabla sijapanda pikipiki nae alichukua yake akaanza kumfukuza bodaboda niliyemkodi, tumesumbuana sana ila mwisho kuna wanaume nilikutana nao na mmoja wao akanishika mkono yule mtekaji akakubali kushindwa.

Nilisumbuka sana na hizi ndoto kwa muda mrefu kama miaka minne hivi, hadi pale nilipokuja kupata msaada kutoka wa Dr. Kiwanga ambaye niliunganishwa naye na dada yangu ambaye ni mtoto wa shangazi.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kisonono, kifafa, kaswende na magonjwa mengine kwa muda wa siku tatu pekee. Kulingana na uwezo wake, anaweza kufanya mali yako iliyoibiwa kurejeshwa na pia kukukinga dhidi ya hasidi wako wasiokutakia mema kwa wakati wowote ule.

Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news