Kumekucha Missenyi, wananchi wajiandaa kuupokea mradi wa kipekee wa maji (Kyaka-Bunazi)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mradi wa Maji wa Kyaka-Bunazi ambao utanufaisha zaidi ya wananchi 65,000. Huu ni mradi wa kwanza wa aina yake kutumia chanzo cha maji cha Mto Kagera.

Post a Comment

0 Comments