Bosi afukuzwa kazi kwa kutazama picha za ngono ofisini

NA MWANDISHI WETU

KATIKA hii dunia kuna watu ambao wana roho za ajabu sana, unaweza kukuta mtu anakuchukia na kukufanyia mambo ya ajabu na aibu bila kujua sababu hasa ni ipi.

Unajikuta unajiuliza kama ulishawahi kumkosea mahali? Hapana? Ulishawahi hata kumchukulia kitu chake?, Hapana!. Sasa chuki yote hii inatoka wapi?.

Haya ndio maswali niliyokuwa najiuliza mimi Lulu kila mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo hata sijafanya, alishawahi kunikata shilingi 100,000 kwa madai kuwa nilichelewa kazini kitu ambacho sio kweli.

Hadi wafanyakazi wenzangu walikuwa wananionea huruma na kuamua kwenda kuniombea msamaha kama kuna sehemu nilimkwaza Bosi wangu, anisamehe.

Aliwasikiliza na kuwaambia wakiendelea kufuatilia jambo hilo atawafukuza kazi wote. Mfanyakazi mwenzangu aitwaye Rose aliniambia tuonane wikiendi inayofuata ana habari njema kwangu, basi wikiendi ilipowadia niliweza kukutana naye nyumbani kwake, tulizungumza mengi ila kubwa zaidi aliniambia anaweza kunisaidia kuhusu manyanyaso nayopata kwa Bosi wangu.

Nilimwambia itakuwa vizuri maana nilitakiwa kuongezwa mshahara takribani miezi saba, lakini Bosi hajafanya hivyo licha ya mkataba wangu kueleza hilo waziwazi.
Basi Rose alichukua simu yake na kunitajia namba hii +254 769404965 na kuniambia ni ya Dr. Kiwanga ambaye ataweza kunisaidia kwa haraka. 

Nilimpigia pale pale nikiwa na Rose na kumueleza jinsi Bosi wangu amekuwa akinitesa na kugoma kuniongezea mshahara, basi Dr. Kiwanga aliniambia niwe na subra kwani muda wa siku tatu hali itakuwa shwari.

Kesho yake kazi tulishangaa Mkuu wa Taasisi kaja ofisini kwetu na sio utaratibu wake kuja bila taarifa, ghafla ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano na wafanyakazi wote.

Katika ule mkutano Mkuu wa Taasisi alitangaza kumfukuza kasi Bosi kwa madai alikuwa akitumia kompyuta na iPad ya ofisi kutazama 'Ponographia' jambo ambalo ni kinyume na maadili na kiapo alichoaapa kukisimamia. Basi Bosi yule aliondoka kwa aibu kubwa na baada ya wiki alikuja Bosi mpya.

Huyu Bosi mpya anapenda wafanyakazi wote bila ubaguzi wowote, baada ya wiki moja aliniita ofisini kwake na kuniambia kuwa ameniongeza mashahara wangu mara mbili kwani mkataba wangu unaonesha nilipaswa kuongezwa mashahara muda mrefu.

Nilimshukuru sana Bosi ila moyoni kwa asilimia kubwa namshukuru Dr. Kiwanga kwa kunisaidia kumuumbua mbaya wangu tena kwa aibu kubwa.

Ukiachana na hilo, Dr. Kiwanga anaweza kukufanya kushinda bahati nasibu, kukupa mvuto wa kibiashara na mapenzi, kuwadhibiti adui zako, kushinda kesi mahakamani, kubaini anayechepuka na mume au mke wako. 

Kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news