Nilikuwa natembea usiku katika ndoto hadi majirani zetu wakaniita mchawi

NA MWANDISHI WETU

KUNA baadhi ya mambo ni vigumu sana ya kuyaelezea kwa watu na ukaeleweka kwa urahisi, hasa pale jambo hilo linapohusisha imani za kishirikiana au uchawi kwani kuna watu hawaamini katika mambo hayo.
Binafsi niliteseka kwa miaka mingi na tatizo la kuota ndoto kisha naamka toka kitandani na kuanza kutembea hadi kwa majirani ambao waliweza kunikamata na hapo ndipo nashtuka kutoka kwenye ndoto.

Nilikuwa naulizwa vipi nilikuwa napata wakati mgumu sana kueleza kwani ndoto huwa haimtoi mtu kitandani ila yangu ilikuwa inafanya hivyo.

Kutokana na tatizo hilo, ndugu zangu walikuwa wanafunga milango na kuficha ufunguo,lakini mimi nikiingia ndoto na kuanza kutembelea niliweza kujua funguo zipo wapi kisha naenda kuzichukua na kuondoka zangu.

Kutembea usiku maeneo ya nyumbani kulifanya baadhi ya watu kuniogopa sana na kuniita mchawi hali iliyonitesa kisaikolojia, nilijawa sana na msongo wa mawazo.

Familia yangu iliweza kuweka mlinzi ili nikiwa natoka usiku aweze kunikamata, kila mara nilipokuwa natoka alikuwa akinikamata na ndipo nashtuka na kurudi ndani kulala.

Yule mlinzi alimfuata mama yangu na kumwambia tatizo langu Dr. Kiwanga anaweza kulitibu mara moja, mama alimuuliza tunawezaje kumpata mtu huyo?.

Ndipo alipompatia namba hizi +254 769404965, aliwasiliana naye na kumueleza kuhusu tatizo langu la kutembea usiku katika ndoto.

Dr. Kiwanga alinifanyia tiba na kusema baada ya siku tatu ndipo itakuwa umefika mwisho wa tatizo hilo, nashukuru sana sasa ni zaidi ya miaka miwili sijawahi kuota tena ndoto yoyote mbaya hadi kutembea kama ilivyokuwa mwanzo.

Mwaka jana wakati nakaribia kufunga ndoa kuna watu walimfuata mchumba wangu na kumwambia kuwa mimi ni mchawi ambaye natembea usiku bila kujielewa, hivyo wakataka aachane na mimi mara moja.

Nashukuru mchumba wangu ni mtu mwelewa sana, alikuja nyumbani na kuniuliza kuhusu jambo hilo, nami niliamua kumketisha chini na kumueleza ukweli wa maisha yangu na hali hiyo niliyopitia.

Alinielewa na kunihakikishia kuwa atakuwa na mimi daima ingawa watu walizidi kumsakama kwamba anaenda kuolewa na mchawi.

Maneno hayo yalinifanya kuingiwa na hofu kuwa huenda hali hiyo ikarejea pindi nitakapofunga ndoa, lakini sasa ni mwaka mmoja wa ndoa kila kitu naona kipo shwari na mke wangu ananiambia hajawahi kuniona hata nikishtuka ndotoni.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Kumbuka pia Dr. Kiwanga anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha na mengine mengi, kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com,tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news