Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),Luteni Jenerali Salum Haji Othman alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo Agosti 1, 2022 akiwa na ujumbe aliofuatana nao. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments