Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 7,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.82 na kuuzwa kwa shilingi 10.39.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 7, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.74 na kuuzwa kwa shilingi 29.03 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.09 na kuuzwa kwa shilingi 19.25.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2277.27 na kuuzwa kwa shilingi 2300.27.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2656.05 na kuuzwa kwa shilingi 2684.23 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.64 na kuuzwa kwa shilingi 630.84 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.22 na kuuzwa kwa shilingi 148.52.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.25 na kuuzwa kwa shilingi 2317.19 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7432.20 na kuuzwa kwa shilingi 7504.09.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.27 na kuuzwa kwa shilingi 215.34 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.35 na kuuzwa kwa shilingi 134.64.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.16 na kuuzwa kwa shilingi 16.32 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.72 na kuuzwa kwa shilingi 332.95.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 7th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.642 630.8368 627.7394 07-Sep-22
2 ATS 147.222 148.5264 147.8742 07-Sep-22
3 AUD 1553.8939 1570.3597 1562.1268 07-Sep-22
4 BEF 50.2188 50.6634 50.4411 07-Sep-22
5 BIF 2.1966 2.2132 2.2049 07-Sep-22
6 CAD 1748.2645 1765.2091 1756.7368 07-Sep-22
7 CHF 2337.9675 2359.9043 2348.9359 07-Sep-22
8 CNY 329.7233 332.9535 331.3384 07-Sep-22
9 DEM 919.2802 1044.956 982.1181 07-Sep-22
10 DKK 306.3122 309.3464 307.8293 07-Sep-22
11 ESP 12.1756 12.283 12.2293 07-Sep-22
12 EUR 2277.2701 2300.2745 2288.7723 07-Sep-22
13 FIM 340.7163 343.7355 342.2259 07-Sep-22
14 FRF 308.8357 311.5675 310.2016 07-Sep-22
15 GBP 2656.0503 2684.2329 2670.1416 07-Sep-22
16 HKD 292.272 295.191 293.7315 07-Sep-22
17 INR 28.7453 29.0273 28.8863 07-Sep-22
18 ITL 1.0463 1.0555 1.0509 07-Sep-22
19 JPY 16.1635 16.3217 16.2426 07-Sep-22
20 KES 19.0949 19.2538 19.1743 07-Sep-22
21 KRW 1.6668 1.6826 1.6747 07-Sep-22
22 KWD 7432.2055 7504.0967 7468.1511 07-Sep-22
23 MWK 2.0784 2.2486 2.1635 07-Sep-22
24 MYR 510.0595 514.7023 512.3809 07-Sep-22
25 MZM 35.3505 35.6491 35.4998 07-Sep-22
26 NLG 919.2802 927.4325 923.3563 07-Sep-22
27 NOK 230.2952 232.5282 231.4117 07-Sep-22
28 NZD 1396.0496 1410.937 1403.4933 07-Sep-22
29 PKR 9.8178 10.391 10.1044 07-Sep-22
30 RWF 2.2013 2.2601 2.2307 07-Sep-22
31 SAR 610.5782 616.4378 613.508 07-Sep-22
32 SDR 2982.9347 3012.7641 2997.8494 07-Sep-22
33 SEK 213.2676 215.3402 214.3039 07-Sep-22
34 SGD 1633.3814 1648.6588 1641.0201 07-Sep-22
35 UGX 0.5781 0.6066 0.5923 07-Sep-22
36 USD 2294.2476 2317.19 2305.7188 07-Sep-22
37 GOLD 3932087.8902 3972590.536 3952339.2131 07-Sep-22
38 ZAR 133.3462 134.6444 133.9953 07-Sep-22
39 ZMW 147.7272 150.223 148.9751 07-Sep-22
40 ZWD 0.4294 0.438 0.4337 07-Sep-22






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news