Waziri Mkuu ateta na Balozi wa Japan nchini Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini, Yasushi Misawa, ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Balozi wa Japan nchini, Yasushi Misawa kabla ya mazungumzo yao, ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments