Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2026

Soma habari zote muhimu leo Jumatatu Novemba 9, 2026 kutoka katika magazeti ya Tanzania kama Mwananchi, Majira, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Mwanaspoti na mengineyo kila siku bila malipo.
Gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Bunge mtegoni, Kiini machinga kutohama pembezoni mwa barabara na Rostam: Wazawa wanufaike zaidi miradi ya Serikali.
Gazeti la Majira leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Serikali yawezesha bei ya saruji kuwa himilivu, Rais Mwinyi azindua mauzo ya nyumba Saateni na CCM yambana mkandarasi yamtaka awalipe vibarua.

Gazeti la Majira leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele upande wa michezo ni: Simba, JKT Tanzania zavutiana kasi, Chama afunguka mafanikio ya Simba na Yanga yatua Zanzibar kwa kishindo.
Gazeti la Habari Leo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Serikali kuchunguza upatikanaji wa dawa, Mume ruhusa kuomba talaka na Sababu saba kuporomoka maadili hadharani.

Gazeti la Habari Leo Michezo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Viwanja Afcon kuvuta mashindano makubwa, Simba yafunguka Hamza, Nangu kurejea na Dladla abakizwa Yanga.
Gazeti la Zanzibar Leo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Dk. Mwinyi: Tutahakikisha wananchi wanapata makaazi bora, Hemed azitaka taasisi za elimu kuwekeza katika elimu ya ufundi na Dk. Mwinyi mgeni rasmi mkutano wa wasimamizi rasilimali watu Afrika.

Gazeti la Zanzibar Leo Michezo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Polisi, KMKM zatoshana nguvu ligi kuu Z'bar, KMKM yadhamiria kutetea ubingwa wa FA na Kawaida awataka wasanii wa mtandaoni kutumia vizuri vipaji.
Gazeti la Mwana Spoti leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Saluti kwao, Kocha Fadlu aliamsa Yanga ataka mapambano mazoezini na Kundi la Simba CAF ni noma.
Gazeti la Wamachinga leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Mawaziri wa Rais Samia waunganisha nguvu SGR, PIC yaitaka Benki ya Kilimo kupanua uwezo wa kuwafikia wakulima na Wadau Madale Saccos sasa iko hatua za usajili, 138 wajiunga uanachama.

Gazeti la Wamachinga Spoti leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Fadlu afurahia kufanyakazi na Job, Msuva azidi kutakata Iraq na Stumai ataka kurejea uwanjani haraka.
Gazeti la Sauti Yetu leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: ACT: Ubadhirifu umewaingiza watanzania katika umaskini, Heche ashushiwa lawama kufungwa kwa Tundu Lissu na Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali.
Gazeti la Dira ya Mtanzania leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Mwigulu atoa uamuzi mzito, Maridhiano sio udhaifu na PIC: Mafanikio Benki ya TADB yasipimwe kwa faida tu.
Gazeti la Mwananchi Huru leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Kasi ya TADB yawafurahisha wabunge Kamati ya PIC, Tanzania yang'ara sekta ya afya Afrika na Balozi Omar aagiza kasi iongezeke ujenzi SGR kipande cha tatu.
Gazeti la Biashara Leo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Maono ya Rais Samia yaipaisha Tanzania katika sekta ya afya, Katibu CHADEMA Mara asema maridhiano sio udhaifu na Shehena ya tani elfu 20 kuingizwa Bara kutoka Z'bar.
Gazeti la Daima Tanzania leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Maono ya Rais Samia yaing'arisha Tanzania sekta ya afya Afrika, Katibu CHADEMA Mara amrushia kombora Heche na Wizara ya Afya yasema idadi ya wenye vitambi inaongezeka.
Gazeti la Raia Mzalendo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Kamati ya Bunge PIC yampongeza Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Tanzania yaongoza kwa maendeleo ya afya Afrika na Madale Saccos yafikia 90% ya usajili.
Gazeti la Mtanzania Leo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Kamati ya Bunge yaipongeza TADB, Tanzania yashika nafasi ya nane Afrika maendeleo sekta ya afya na Balozi Omar ataka kasi zaidi SGR kipande cha tatu.
Gazeti la Sauti ya Mara leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Hifadhi ya Serengeti kuandika historia Tuzo za Utalii Duniani, Serikali yatenga bilioni 3.8 kulipa wafugaji walioshinda kesi za kutaifishiwa mifugo na Anna Migera abuni huduma za usafi makazi ya watu, ofisi.

Gazeti la Sauti ya Mara Michezo na Burudani leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni: Cristiano Ronaldo: Sijawahi kuhisi kuwa jezi namba 7 ilikuwa mali yangu pekee na Isaya Yunge na Charlene Ruto walizovishana pete wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika Malaika Beach Resort jijini Mwanza wiki iliyopita.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here